Dianetiki Jinsi ya Kutumia DIANETICS


Dianetics - Scianci Ya Kisasa Ya Hali Ya Akili
Jinsi ya Kutumia Dianetics
US 1-800-722-1733
South Africa (27) 113 316 621
Denmark (45) 33 73 66 66
Where Can I Get Dianetics?


Fungua mlango wa uwezo wako Jifundishe kwa kutumia video hi ya Dianetics

[Dianetics]
Kitabu cha Dianetics ni nambari moja kwa njia za kujisaidia, kwa sababu, Inafanya kazi. Sasa hii ni video ambayo itakuonyesha Dianetics ni nini, jinsi inavyo fanya kazi na mambo utakayo fanya.

Kwa kutumia video hii utajifunza njia rahisi ilioaandikwa katika kitabu cha L. Ron Hubbard, njia ya kutambua mambo haya, na vitu ambavyo vinayo kuzuia kufika uwezo wako na njia za kuzikumba.

Dianetics inahusu njia za kisasa na scianci ya akili. Hutambua- kwa ufupi mtu yoyote anaweza kuelewa- kiini cha masumbuka, hasira, kutokuwa na nia, magonjwa ya akili, kufanya mambo bila kufikiria, na hata uwendawazimu- akilil inayo hisi.

Hii video itakuonyesha vile Dianetics huendelza uchunguzi ili uweze kuanza kutumi technologia hii na uangamize akili inayo hist.

Katika technologia ya kitabu cha L. Ron Hubbard, video hii itakfunulia alma za muhimu za Dianetics – alama hizi zitakubadilisha milele katika njia unavyo tazama uwezo wa akili yako, uwezo wako na maisha yako.

Tazama kipindi hiki na rafiki yako. Tumia kipindi hiki kuangamiza kila kiini cha masumbuko ya binadamu na kisha utafungua mlango wa uwezo wako!

To Order Dianetics


Write to us or call!
North and South America
info@bridgepub.com
1-800-722-1733

All other parts of the world
books@newerapublications.com
(45) 33 73 66 66

© 1999-2004 Church of Scientology International.
All Rights Reserved.

For Trademark Information